hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, June 26, 2013

MUZIKI NDIO KAZI YANGU,SHOW NDIO NAZITEGEMEA KUENDESHA MAISHA YANGU,KWANINI MIMI? - OMMY DIMPOZI


PICHANI Ni msanii ''Ommy Dimpoz'' Akilia jukwaani bila kujua ni kitu gani kimempata, ghafla tu alionekana akilia bila kujua kilichomsibu ni nini?  alisema amesikitishwa na kushangazwa sana na chuki kubwa iliyotengenezwa na watu wenye nafasi kubwa nchini kwa maslai yao binafsi na kunifanya jamii isinielewe kabisa kwa kile nilichokizungumza kuwa mie nimemtusi marehemu mangwear. wakati si kweli mie muislam najua maiti ikifa haitakiwi kusemwa vibaya alisema ommy dimpozi.

Ommy alionekana kila siku kuomba msamaha mashabiki wake kwa kila kilichotokea na mengi yamezungumzwa na wadau tofauti kutokana na mkasa huu wa ommy dimpozi kupigwa makopo ya kilimanjaro siku ya show dodoma,endelea kutufatilia niwape majibu  yakutosha kuhusu sakata hili.

No comments:

Post a Comment