hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, April 2, 2016

PHOTO’S: Yaliyojiri MAISHA BASEMENT kwenye MARCH BIRTHDAY JOINT

_DSC6528
Usiku wa jana tarehe 31 kuamkia tarehe 1 mwezi wa 4 pale Maisha Basement kulifanyika bonge moja la party maalumu kwa wale wote waliozaliwa mwezi wa 3. Shughuli hiyo ilihudhuriwa na watu maarufu ambao walizaliwa mwezi wa 3 pamoja na mashabiki zao, hizi ni picha nilizokuchukulia ili usipitwe na tukio hilo.
_DSC6538
Pichani kushoto ni mtangazaji GADNA G HABASHI kutoka E FM akiwa na Hyperman HK kutoka Maisha Basement walikuwa wakifungua shughuli nzima.
_DSC6548 _DSC6554
Gadna, TID na CEO wa Maisha Club zote Tanzania anaitwa Claud
_DSC6580 _DSC6588 _DSC6591 _DSC6616 _DSC6630 _DSC6638 _DSC6643 _DSC6661 _DSC6673 _DSC6678 _DSC6690 _DSC6699 _DSC6706 _DSC6707 _DSC6709 _DSC6715 _DSC6717 _DSC6718 _DSC6719 _DSC6721 _DSC6741 _MG_4313 _MG_4358 _MG_4384 _MG_4397


No comments:

Post a Comment