Pages

Monday, March 14, 2016

WEMA AMKABA ALLY KIBBA ALIMANUSURA ALIE MAISHA BASEMENT


 katika hali iliyotafsiliwa kuwa labda wema atakuwa na mimba ya mtoto wa kiume,baada ya kuwa na itikati za kiume zaidi wakati inasemekana ni mjamzito, Jana Katika club namba moja ya usiku yenye kick kubwa Maisha Basement katika uzinduzi wa Tour ya SIWEZI NAOGOPA ya msanii kutoka endless fame MIRROR 26 akiwa na BARAKA THE PRINCE pale WEMA alipomkaba kiutani msanii nguli wa bongo fleva ally kibba kiasi ali alitamani kutoa chozi ila alijikaza kisabuni.TOUR hiyo inahamia dodoma jumapili hii wasanii hao pamoja na madame wema sepetu na petit man wakuache watakuwepo dodoma jumapili hii. kwa mtonyo wa buku 10 tu.
 Madam akiwa stejini


 Ally Kibba baada ya kukabwa.
 Hasira zilianzia hapa... ona madame alivyofanya
 furaha ilitawala kabla yakuanza mambo yake

Alianza kwakumnongoneza.

No comments:

Post a Comment