Pages

Monday, March 14, 2016

STYLE YA CHURA YA SNURA YAWA GUMZO MTAANI

Style mpya ya msanii Snura mushi yaleta minong;ono mtaani baada ya kuwa gumzo la jiji. style hiyo inayotokana Nawimbo wake wa chura unaosambaa mtaani bila yakupigwa radion kokote, akiongea na blog hii ya burudani. snura mushi amesema style hii ameipata kwa chura original vile anaruka na kutembea hivyo mashabiki wake wakae tayar kwa mengi zaidi kutoka kwake mwaka huu.pichani moja kati ya madansa wa snura akicheza style ya chura.


Snura mushi

No comments:

Post a Comment