Pages

Monday, March 14, 2016

Kama ulikosa Kamatia Chini Lights Up Tour ya New maisha club Dodoma kuna pichaz 20 hapa…



Mtu wangu wa nguvu kama mpenzi wa burudani na kuparty Kamatia Chini Lights Up Tour ya Navy Kenzo iliendelea usiku wa March 7, time hii ilikuwa pande za Maisha club Dodoma walifanya makamuzi kwa awamu nyingine tena, baada ya wiki moja nyuma kuzindua Tour hiyo Maisha Basement, na kupiga bonge la show ndani ya Viva tower ,posta.
Hizi ni pichaz 20 kutoka kwenye show yenyewe pande za Dodoma mtu wangu
3X6A7242
8
3X6A7244
Nahreel
3X6A7245 copy
Aika
3X6A7253
Mashabiki
3X6A7259
Nahreel
3X6A7210
3X6A7282
Mashabiki
3X6A7280
NavyKenzo na Mashabiki
3X6A7275
3X6A7272
NavyKenzo wakiimba
3X6A7235
Nahreel na Mashabiki
3X6A7222
Aika na Mashabiki
3X6A7223
Nahreel
3X6A7226
3X6A7233
Aika
3X6A7238
Nahreel
3X6A7241
3X6A7237
NavyKenzo on stage
3X6A7252
picha kwa hisani ya millardayo

No comments:

Post a Comment