hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, March 14, 2016

IRENE UWOYA,ESMA PLATNUMZ NA RASHIDA WANJARA KWENYE KIBAO MSAMBWANDA JUMATANO HII

Ile burudani pendwa Dar es salaam  usiku wa misambwanda pale maisha basement jumatano kwenye jakuzi kutakuwa na figisu figisu za Rashida wanjara na watu wake kama kina IRENE UWOYA NA ESMA PLATNUMZ bila kusahau msambwanda dadaz kutoka tanga. Watachuana vikali na madada kutoka dar.. hautakiwikukosa siku hiyo itakuwa hatari sana. jumatano hii kwa kiingilio cha buku 10 tu pale maisha basement.

No comments:

Post a Comment