Pages

Wednesday, March 9, 2016

Hyperman Hk akiwa dodoma ndani ya matei lounge

 Niwapo dodoma kiukweli uwa napenda sana kupita mate loungekwa maana ni sehemu nzuri yenye manzari nzuri na chakula kizuri. wakat huu nilipopita nimekutana na mzee morama mohamed moja kati ya maaluwat wa mji wa dodoma.. kiukweli ilikuwa so fun tulienjoe nakufarah sana tukiwa na zee wetu ambae ni mcheshi na mwenye maneno mengi yakufurahisha...  pichan ni Mzee Morama

 Ney nai nai akiwa na Rehema mtoto wa kigogo



 Hyperman hk akiwa na MZ Morama

 hk,nai nai na rehema




ukiwa dodoma usiache kupita matei lounge halafu aftre party yako ingia maisha club dodoma siku yako itakuwa imekamilika uzuri sana

No comments:

Post a Comment