Pages

Monday, March 14, 2016

BIRTHDAY PARTY YA MANAGENG DIRECTOR WA MAISHA BASEMENT CLAUDE NDANI YA CAPE TOWN FISH MARKET

 Ifikapo tar 11/03/ kila mwaka MR CLAUDE CIZA anasheherekea siku yake yakuzaliwa. mwaka huu amefanyiwa bonge moja la suprise na wafanyakazi wake wa juu. pale Cape townfish market.
haikuwa rahisi kumpeleka hapo mkurugenzi huyo kwa maana hanaga itikadi yakufanya sana birthday party na siku hiyo alishapanga hatoki kwenda kokote zaidi ya kulala tu nyumbani. ghafla anasikia kuna safari yakutoka kwenda lanch na mchumba wake... alikataa kwenda kokote ikabidi tubadilishe mfumo wakumtoa hapo nakumpeleka maeneo ya tukio. ikabidi tumtumie mama yake mzazi hapo ndipo alipotoka fasta na kujikuta ndani ya cape town fish market alipoingia tu. zile shangwe vepe sasa. watu weweeeeee


 Gilla and Sam
 Brenda and erick
 ERICK
 DOCTOR,DONG AND ALLAN




 GILLA AND CLOUDE



BROTHER AND SISTER

 ELIAS NYAKULINGA N GILLA
 ROBART,NYAKULINGA BA GILLA

 ALLAN AND NYAKULINGA








 NASRIN AND CLAUDE
 MZAA CHEMA, MAMA YETU, MAMA TINA,MAMA CLAUDE. BIBI YAKE FANTAS




 NASRIN AND CLAUDE



















No comments:

Post a Comment