hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, February 28, 2016

UZINDUZI KIBAO MSAMBWANDA UNO KWENYE JAKUZI NI HATARI WATU WAFURIKA MAISHA BASEMENT

 Kila siku ya jumatano kuna burudai nzuri ya uswahilini ambayo imeletwa moja kwa moja uzunguni, ya kibao kata jumatano iliuyopita kilizinduliwa kibao kata kipya cha kibao msambwanda na uno kwenye jakuzi. Jakuzi lililozua kumzo dsm baada ya kuingizwa ndani ya club shughuli haikuwa ndogo watu walifurahia sana burudani hiyo ya uno kwenye jakuzi. usikose kila siku ya jumatano maisha basement.
 Matarumbeta
 UMATI WA WATU






Jakuzi ndani ya club
 Hyperman hk akiwatambulisha kibao msambwanda kwa wapenda burudani ya kibao kata

 waimbaji na wapigaji wa kibao msambwanda



 Pale kisingeli cha chura cha snura kinapopigwa watu huwa hivi











 Snura akimnong'oneza jambo manager wake hyperman hk

 Cdj skadi,snura,dj godo na wengine

No comments:

Post a Comment