Pages

Saturday, July 25, 2015

ANGALIA MAAJABU YA MSANII WA TANZANIA HUKO MAREKANI, WAKE UP YA MANAIKI NAYO YAFIKIA PATAMU..!


Mmmoja wa wasanii walioshiriki filamu ya Going Bongo ambae ni Mmarekani

 
Bofya cheki kuona Demo za  filamu za Wake Up na  filamu ya Kimataifa ya Going Bongo ambayo kwa sasa imetu nchgini ikitokea kuzinduliwa nchini Marekani na Uingereza, huku filamu ya Wake iliyowashirikisha wasanii zaidi ya 30 ikitarajia kuwa mtaani mwezi wa nane mapema na itasambazwa na kampuni ya Steps


ANGALIA UTITILI WA MASTAA WALIOSHIRIKI FILAMU YA MSANII MANAIKI SANGA IITWAYO WAKE UP INAYOTARAJIA KUTOKA  MWEZI WA NANE HUKU IKISAMBAZWA NA KAMPUNI YA STEPS








Nyota huyu wa Bongo Movie nae ametisha ndani ya filamu hiyo.


















Mtanzania kushoto ambae ni msanii wa kimataifa  akiwa kwenye harakati za kuigiza filamu hiyo kwa tayari imeshaoneshwa kwenye majumba ya sinema kwenye nchi kadha zikiwemo Marekani, Nigeria, South Africa, Uingereza, Ujerumani nk.


















Ile filamu iliyotikisa nchini Marekani huku ikioneshwa kwenye majumba mbalimbali ya Sinema ambayo inaitwa Going bongo ni muvi ya kwanza ya bongo ya kimataifa kufanywa nchini Tanzania.
Movie hii inamuhusu daktari wa kimarekani ambaye ana ndoto  ya kutaka kuwafurahisha mabosi wake kwenye kazi yake mpya katika hospitali ya 'Beverly hills medical center' iliyopo mjini Los Angeles.
Baada ya kuhudhuria sherehe ambayo ilitayarishwa na bosi wake,anajikuta kajitolea kibahati mbaya kwenda Africa kwa muda was mwezi moja katika Hospitali yenye mazingira mabovu. Muvi hii imetengenezwa na Busy bee production na Ronald brothers production.Waigizaji; Ernest Napoleon,Emanuel Galliusi,Ashely Olds,Nyokabi Gethaiga. Direkta wa picha ; Leslie Bumgarner Direkta wa filamu; Dean Ronald's Edita ; Rachel Katz Muziki ; Alex Hemlock. Producer; Ernest Napoleon,Nick Marwa na Dean Reynolds.

No comments:

Post a Comment