hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, March 24, 2014

PICHA YA MAPENZI YENYE UJUMBE WA MAPENZI KWA WAPENDANAO!

Mapenz matamu mkiwa mtapenda""""""mapenz furaha ikiwa mtaaminiana """"" mapenzi halwa yahitaji kupeana """"" mapenzi nitibba moyoni yakiingia daahhh """'''''maradhi yote ugua ila mahabba usiombe""""' hebu vuta taswira kama niww na mwenzako hiv kisha kunatokea fitna na mkeo mwishowe kuachana daah,,,, Yarabb tuepushie na fitna ktk ndoa zetu inshaALlah,,,,,

No comments:

Post a Comment