Pages

Wednesday, March 12, 2014

MUONEKANO MPYA WA MSANII Y TONNY MZEE WA ''MASEBENE''

 Huu hapa muonekano mpya wa Y tonny mzee wa masebene yule kijana anaefanya poa na ngoma yake mpya ya pendo, chini ya usimamizi wa hyperman hk kijana huyu anaangaliwa sana kwa sasa kama msanii bora chipukizi anaefanya vizuri sana na ngoma yake ya masebene kila kona wakubwa na watoto wameonekana kuipokea vyema sana ngoma hiyo ya masebene. mpigie kura kijana huyu awezekuingia kwenye kinyang'anyiro cha kili muziki awads andika 23 kisha acha nafasi y tonny halafu tuma kwenda 154440 utamuwezesha y tony kuwa moja kati ya washiriki wa tuzo za kili kupitia kategory ya msanii ora chipukizi.












No comments:

Post a Comment