Pages

Monday, March 10, 2014

MSANII SHELTA AFANYA TOUR KUSINI YAKUTAFUTA STYLE YA KEREWA DANCE

Jumamosi hii ataanzia mkoani lindi na jumapili atakuwa new maisha club mtwara shelta akiongea na hyper man hk alisema anauwezo wakubuni style hiyo ila ameona vyema this time awape fursa wadau na mashabiki wake kutunga iyo style za kerewa dance pia amesema wakazi wa dodoma,mbeya ,morogoro,dar wakaetayari kupitia club zote za new maisha club dar. 

No comments:

Post a Comment