hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, March 25, 2014

Jamani Hii Ndio Message Waliotumiwa Ndugu Na Jamaa Wa Abiri Wa Ndege Iliyotoweka Malaysia.


Janga lililokumba Malaysia limegusa watu wengi duniani na wameonyesha hali hio kwa kuandika jumbe tofauti kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Twitter kutoa pole kwa wafiwa na familia zao. Fahamu Waziri mkuu wa Malaysia Najib Razak alitoa habari kwa waandishi wa bahari kuwa udadisi uliofanyiwa data ya Satelite kutoka Uingereza ndio umewathibitishia kwamba ndege hiyo ilimalizia safari yake Magharibi mwa mji wa Perth mbali na eneo lolote la kutua, Ndege imeanguka kwenye bahari ya hindi na abiria wote wamepoteza maisha.
Kabla ya mkutano na Waandishi wa habari, Malayssia Airlines ilituma Ujumbe Huu kwa ndugu na jamaa wa abiria waliosafiri na Ndege yao na kupoteza Maisha

 


No comments:

Post a Comment