Pages

Sunday, March 16, 2014

HAWA NDIO WASHINDI WASHINDANO LA NGOLOLO, SKELEWU CHALI KWA DIAMOND

Kama ulikuwa haujui ijumaa iliyopita new maisha club dar es salaam kulikuwa na mashindano yakucheza style ya ngololo na skelewu.... kilichotokea waliocheza ngololo walipewa shangwwe nyingi sana na kuibuka kidedea washindi wanne na walipewa zawadi za t shert za wasafi clasic







 hyperman hk akifanya yake










No comments:

Post a Comment