hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, January 21, 2014

SERIKALI YAOBWA KUINGILIA KATI NA KULITOKOMEZA KUNDI LA WAKABAJI LINALOJIITA MBWA MITU

 Kwa nyakati mbalimbali wananchi wameomba serikali isilifumbie macho kundi la wakabaji linalojiita mbwa mwitu.. akiongea na blog hii ZUHURA GORA amesema juzi juzi kundi hilo limemkaba msanii wa filamu bongo anaejulikana  kama Basupa kwa usiku huo huo alipokwendakustaki amekutana na kesi zaidi ya 3 kituoni hapo mwananyamala zinazohusu kukabwa na kuibiwa na kundi ilo la mbwa mwitu lenye mtandao mkubwa wa ukabaji, mbaya zaidi kundi ilo uwe nacho au usiwe nacho kitu wanakukaba na wanakupiga kwa nini usitembee na hela huku wakisema.
pichani ni msanii basupa alivyojeruhiwa vibaya na kundi la wakabaji la mbwa mwitu...

No comments:

Post a Comment