hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, January 21, 2014

MWANAUME AFA AJALINI AKIWA NA KIMADA, ALIMUAGA MKEWE ANAKWENDA KUSALIMIA NDUGU, KIMADA ACHANGANYIKIWA ISHU KUVUJA..! XDEEJAYZ INAKUPA LIVE


 Habari toka Mkoani  Singida zinasema watu 13 waliofariki dunia baada ya kutokea ajali ya magari mawili kugongana uso kwa uso eneo la Isuna mkoani humo kumbe mmoja wa watu waliofariki alikuwa ni mume wa mtu ambae alikuwa anakwenda kula bata na nyumba ndogo
Habari zinasema ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Noah na lori watu hao wakiwemo na kwa mujibu wa shuhuda wetu ambae alipiga simu kwenye ofisi za Xdeejayz na kueleza wawili walikuwa wanasaliti ndoa zao. "KWA HABARI ZAIDI USIKOSE KUFATILIA GAZETI LA MASKANI BONGO"

No comments:

Post a Comment