Pages

Tuesday, January 21, 2014

MWANAMUZIKI AYLER AOMBA MUNGU ASIKUTANE NA FUSKA MANAIKI SANGA “THE DON” !





 
NA Livingstone Mkoi
Mwanamuziki chipukizi anaekimbiza Bongo kwa sasa Irene Peter  maarufu kwa jina la Ayler amefunguka na kuweka wazi namna anavyomuogopa Manaiki Sanga “ The Don” kama ugonjwa wa ukoma.
Akiongea na Xdeejayz Ayler ambae kwa sasa anatingisha nchi wa wimbo wake wa Msamaha ambao unapigwa sana kwenye vituo vya redio na tv alisema “ Kiukweli Manaiki Sanga ni mwanaume wa ajabu sana nan i katili naomba Mungu nisije kukutana nae hata kwa kushikana mikono maana naona nitakuja kuzimia hapo hapo” Alisema Ayler
Hata hivyo mwanamuziki huyo aliendelea kueleza kuwa amekuwa akiumia kila siku akishuhudia mamia ya wanawake waliodhalilishwa na Manaiki kupitia mitandao na kujichukulia kama ni yeye pia yumo kwenye huo mtandao hivyo amekuwa akiomba Mungu sana kutokukutana na Manaiki Sanga hata kwa kumuona uso wake live kwani huenda anaweza hata kuzimia.
"GAZETI LA MASKANI BONGO LIKO MTAANI KESHO JUMATANO USIKOSE KOPI YAKO MAPEMA" 

No comments:

Post a Comment