hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, January 9, 2014

DIAMOND MWISHO WA MATATIZO....HII NDO SWIMMING POOL YAKE ANAYO JENGA KWA SASA



Superstar Diamond Platnumz ametupia picha za project yake ya mjengo wake mpya unaoendelea kujengwa ukiwa na swimming pool. Diamond hakika ni mpenzi wa kuogelea na tueweza kuona hilo kupita picha zake nyingi ambazo huwa anatupia kwenye mtandao. Na kama mtakumbuka vizuri kuna birthday yake moja aliisha wahai kuifanyia kwenye swimming pool somewhere in Dar. 
Kupitia instagram yake Diamonda amepost picha hii na kuandika: "Wachina wa nini wakati Watanzania Wenzangu wanaweza pia???... #SwimmingPool #MyNewHome! Can't wait"


Dada yake Diamonda Esma nae ametupia video clip ya kazi hiyo ikiwa inaendelea.

 Pichani chini ni baadi ya picha za Diamond na watu wake wakiwa wanaogelea katika hotel mbali mbali wakiwa kwenye tour zao.





Diamond ni kijana anaejituma sana katika kazi zake na anastahili kuishi maisha ayapendo. Hongera nyingi kwake

No comments:

Post a Comment