hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, January 9, 2014

Barnaba kutoka na Jiwe lingine hivi Karibuni.."JASHO LA MNYONG" Jipangee kwa Mzingo huu


Barnaba
Mkali kutoka THT Mwenye sauti ya Kipekee katika Muziki wa Bongo Fleva Nchi, Barnaba Anataraji kuachia Wimbo wake Mpya Hivi Karibuni ambao Ameubatiza Jina la JASHO LA MNYONGE...

Umzigo umefanywa na Producer ambaye anamkubali sana na pia Amefanya kazi zake Nying...Tudii Thomas
kwa kuonyesha Furaha Aliyokuwanayo Msanii Barnaba kwa ujio wakazi yake hiyo mpya, Kupitia mitandao ya Kijamii aliweka picha ya Producer wake akiwa katika kazi ya mwisho kukamilisha Wimbo Huo huku akisema maneno haya "@Studio nw with my no 1 One Prdz/- in Tz Tudii Tomas' Hatariiiiiiii Tukiwa na Kaz ya kumix JASHO LAS MNYONGE kuwa tayariii ili ikifikiemasikio. Mwako asante mungu kwa GOOD VOiCE

No comments:

Post a Comment