Pages

Thursday, January 16, 2014

Alichokisema Adam Mchomvu Kuhusu Ishu ya Kupigwa Chini Mjengonii....


Baada ya Taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao mingi kuwa watangazaji wa Kipindi cha XXL cha Clouds FM Adam Mchumvu na B12 pamoja na mwanadada ambaye anatangaza kipindi cha Usiku Diva Loveness...

Kuwa wamepigwa Chini na Clouds Fm yaani Kibarua Chao Kimeota Nyasi na nafasi yao kushikwa na Rymond

Adam Mchomvu kupitia Instagram aliibuka kuzugumzia ishu hiyoo kwa Kuweka picha hiyo chini Huku akiandika maneno Hayooo...

No comments:

Post a Comment