hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, January 29, 2014

40 YA MTOTO WA ROSE NDAUKA KUFANYIKA TAR 9 MWENZI WA PILI

Akiongea na blog hii rose ndauka amesema jumapili ya tar 9 ndio siku atakayomtoa mtoto wake katika siku ya 40, shughuli hizo zitafanyika nyumbani kwao maeneo ya kijitonyama... Pambe zipo za kutosha tu kwa mujibu wa rose pia amesema kuna sale ya madila kwa ajili ya kina mama, kwa elfu 20.  shuhuli itaanza mapema mida ya saa 4 asubuhi.....pia amemaliza kwakusema kwa wale wenye hamu yakumuona mtoto wake siku hiyo watamuona kwamana huyo aliyotolewa kwenye mitandao sio picha ya mtoto wake... alimaliza kwakusema...

No comments:

Post a Comment