hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, December 5, 2013

PICHA ZA KWANZA ZA MPENZI WA PAUL WALKER BAADA YA KIFO CHA GHAFLA CHA STAR HUYO..!! TAZAMA HAPA.....!!




Zifuatazo hapo chini ni picha za mpenzi wake Paul Walker wa muda mrefu, anaitwa Jasmine Pilchard-Gosnell, picha hizi ni za kwanza za mwanadada huyu baada ya kifo cha ghafla cha mpenzi wake Paul walker ambaye amecheza muendelezo wa filamu ya Fast and Furious 1 mpaka 6, sehemu ya 7 ya filamu hii ipo katika uandaaji na hapo awali ililipotiwa itaachiwa July 2014 lakini kutokana na kifo cha Paul Walker filamu hiyo itachelewa kutoka.









Picha zote kwa hisani ya 

No comments:

Post a Comment