hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, November 25, 2013

TIZAMA YALIOJIRI KWENYE TAMASHA LA P SQUARE LIVE IN DAR KWENYE VIWANJA VYA LEDERS CLUB



Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wakilivamia jukwaa la Leaders usiku huu.…
BOFYA KUCHEK PICHA ZA MATUKIO ZAIDI.
Joh Makini akilitawala jukwaa.
Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao…

LADY JAYDEE AKIFANYA YAKE STEJINI

Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leaders Club usiku huu katika shoo wa wakali P-Square.…
MC Dullah akiwa kazini.

BEN POL AKILISHAMBULIA JUKWAA KATIKA YA SHOO YA P-SQUARE

Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders usiku huu katika shoo ya P-Square Live in Dar.…

No comments:

Post a Comment