hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, November 25, 2013

MSANII SNURA AFIWA NA KAKA YAKE WA TUMBO MOJA APATWA NA AJALI YA RADI MLANDIZI

XTREME DEEJAYZ,HYPERHK BLOG inatoa pole zake za dhati kwa msanii SNURA kwa kufiwa na kaka yake wakuzaliwa nae anaejulikana kwa jina la yusufu kaka yake wa kwanza kuzaliwa kwa marehemu baba yake mzee mushi. msibahuo umetokea malandizi baada ya kupigwa na lradi kali jana asubuhi wakati marehemu akiwa shambani kwake mlandizi akiongea na blog hii SNURA alisema wanazika leo huko huko malandizi mida ya saa kumi jioni. mungu alaze roho ya maehemu YUSUFU MUSHI mahala pema peponi.AMIN.

No comments:

Post a Comment