hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, November 3, 2013

MWANAUME ALIYEJIFANYA MWANAMKE AKAMATWA



Mwishoni mwa juma hili kumekuwepo na sintofahamu mjini Nairobi, nchini Kenya, baada ya mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 26 kukamatwa. Kwa muda mrefu kijana huyo amekuwa akiwadanganya wanaume wenzake kwa kujifanya kuwa ni mwanamke.

Mwanaume huyo alitengeneza matiti ya bandia ambapo alichukua glovu mbili na kuzijaza maji kisha akazipakachika vizuri ndani ya sidiria. Alivaa kama mwanamke na kuonekana mwenye mvuto kwa kuwa alikuwa ameyatengeneza makalio yake katika namna iliyowavutia wanaume....

No comments:

Post a Comment