Pages

Friday, November 1, 2013

MASHABIKI WA SIMBA WASHAMBA WANG'OA VITI 70 UWANJA MPYA WA TAIFA KISA KUFUGWA

 Baadhi ya viti vilivyong;olewa na mashabiki wa simba wakati wa mechi kati ya simba na kagera sugar

 Askari wakikusanya viti vilivyong'olewa na mashabiki simba
 mmoja wa mashabiki wa simba akishikiliwa na pilice kwa tukio alilolifanya


 police wakitawanya watu kwa kutumia mabomu ya machozi 
kwenye jukwaa la simba ndio viti vingi vimeng'olewa na mashabiki hao watu wengi wamekichukulia hiki ni kitendo cha kishamba kabisa walichokifanya mashabiki wa simba.

No comments:

Post a Comment