hk CONTACTS

hk CONTACTS

Thursday, October 24, 2013

UGONJWA MPYA UMEINGIA KWA WEJE TABIA YA KULALA NA SIMU KARIBU NA KICHWA

 Ugonjwa mpya umeingia ,Usipende kulala na simu karibu na kichwa.k kuna ugonjwa unaitwa ''BRAIN TUMOR'' Ni mbaya sana ni kama kansa ya ubongo. tukiongea na mtaaramu wa mambo ya ubongo doctor livinstony alisema ugonjwa huu sio mzuri kabisa hivyo amewaomba watumiaji wa simu mbalimbali kukaa mbali na simu hizo hasa hasa muda wa kupumzisha akili zetu kwa maana muda wa kulala.ukisoma habari hii jaribu kumpa habari na mwenzio juu y swala hili.
Picha zote kutoka maktaba yetu.

No comments:

Post a Comment