Pages

Wednesday, October 30, 2013

TAZAMA PICHA 11 ZA TUKIO LA KUUNGUA BENZ YA MADAM RITHA...!!


Madame Rita


Tukio lilitokea Chuo kikuu cha Dar es salaam saa tatu na robo usiku gari likiendeshwa na Julius Kanwakaita ambae ni Accountant wa Madame Rita ambapo inaaminika limeungua moto kutokana na shoti ya umeme iliyoanzia kwenye injini na kusababisha moto mkali.

Julius alikua analirudisha gari nyumbani kwa Madame Rita baada ya kumaliza mizunguko aliyotumwa na boss wake ambapo kutokana na moto huo, Julius ambae alikua peke yake kwenye gari alilazwa hospitali kwa saa kadhaa baada ya mshtuko.

4

Taarifa ambazo millardayo.com inazo ni kwamba gari lilikua na Isurance kubwa hivyo Madame atalipwa Benz jingine ambapo Millard Ayo alipompigia Madame Rita kumpa pole, alithibitisha kweli ni gari lake lakini anamshukuru Mungu kwa sababu kuungua kwa gari hilo hakujagharimu au kujeruhi maisha ya mtu yeyote.
Hii sio mara ya kwanza kwa Madame kukutwa na mkasa wa moto, August 2012 sehemu ya ofisi za Benchmark Productions Dar es salaam iliungua na kusababisha hasara ya vifaa mbalimbali.



BOFYA ZAIDI...


Julius



13

Julius Kanwakaita.

1


2


3


4


5


6


7


8


9


10


11


15


source: Millard Ayo

No comments:

Post a Comment