hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, October 7, 2013

MSANII TWENTY PERSENT AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba ,Msanii 20%  jana amefiwa na baba yake mzazi  Mzee Khamis kinzasa,mazishi ni leo mchana saa saba kamili  huko kwao kimanzichana.

No comments:

Post a Comment