Pages

Tuesday, October 1, 2013

HAWA NDIO WASANII WALIOMZIKA MSANII MAC 2 BE WENGINE WAMEINGIA MITINI

Msanii MAC 2 B amezikwa mchana huu leo katika makaburi ya YOMBO MAKANGALAWE  wasanii waliojitokeza kumzika ni wachache sana tofauti na misiba mingine ya wasanii inavyokuwa, ''hii kitu yakuchagua watu wakuwazika sio nzuri kabisa alisikika mdau mmoja akisema'' wasanii wana ubakuzi na hawana ushirikiano.ukiangalia hapa kuna wasanii wachache sana waliojitokeza kumzika mac 2 b. Na hawa ndio wasanii niliowaona leo na watu maalufu katika msiba wa mac 2 b. CRAYZE BUFA,PROD LAMAR,MABAGA FRESH,MOX,KIMALIO,HK,RICH ONE na DAZ BABA .
wasanii wengine mko wapi jaman sio vizuri kabisa.

No comments:

Post a Comment