Pages

Thursday, October 10, 2013

ASANTE MUNGU KWA KUNIKUZIA, MWANANGU NDIO FURAHA YANGU

 Kwa jina anajulikana kama NASRI HEMED KAVU. mtoto mwenye akili nyingi na drama kibao hakuna kitu kimenifurahisha hivi karibuni kwa mtoto wangu kama kitendo cha kujua kuhesabu one mpaka 50 in ENGLISH ana miaka mitatu tu, lakini amenishangaza sana. hii kitu imenipa faraja sana kujua kama mtoto wangu anaweza kuja kuwa mtu mwenye akili sana hawapo darasani na msikivu kwa walimu wake. namuomba sana mungu hampe nasri wangu kila lilo jema na amuepushe na husda.i love u nasri.
 Hapa akijinyosha kidogo najua mwanagu swaga umezaliwa nazo.
 anasemaga anapenda akiwa mkubwa awe anaendesha pikipiki ndio mana hapo kaonyesha ishara yakuwa kama anapiga misele na pikipiki.
 hapo akiimba wimbo wa mungu ibariki tanzania ni mpenda aman sana mtoto wangu.
 swaga is onn mauzo hapo ndio kwake

Hapa sasa anajalibu kuanza utundu wake,tukiacha yote mtoto wangu mtundu sana duuu, ama kweli vyakurithi vinazidi.
sina mengi yakuzungumza ila nawaomba sana mumuombee mtoto wangu dua nyingi akue salama.


Hapa akiwa na daddy yake.hyperman hk

Hapa wakati mdogo sana kama ana mienzi mitatu hivi au minne nikimuandaa andaa. nasema kabisa mwanangu yanga hata nikifa  hiyo nguo nyekundu aninayomvesha isiwe sababu.

2 comments:

  1. jaman!he is handsome sna!!!love Nasry pia!!mm!!mlee vzur!!jaman!!

    ReplyDelete
  2. asante sana NEEMA JONES inshaalah nashukuru sana.

    ReplyDelete