Pages

Thursday, October 31, 2013

ANGALIA UFUSKA WA WASANII WA FILAMU

IMEBAKI SIKU MOJA TU KABLA YA KUFANYIKA TUKIO LA KUKUMBUKWA NDANI YA CLUB MAISHA DODOMA, WAKAZI WA SINGIDA, DODOMA, MOROGORO WAPENDA BURUDANI WAANZA KUPANDISHA HOMA, MITAMBO YA XTREME DEEJAYZ KUANZA KUTUA KESHO MCHANA!

Na Sakina Shabani

Mmh wimbo la mastaa wetu kuendelea kujishushi hadhi linaendelea kushika kasi kila kukicha huku hakuna sheria zozote zinazochukuliwa dhidi yao.

Msanii nyota toka kiwanda cha bongo movie Edward Tem "Nick" picha zake za utupu zaidi 200 zimenaswa na mtandao huu hatari wa xdeejayz  zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake.

Xdeejayz wiki kdhaa za nyuma iliwahi kushushiwa picha za fumanizi la msanii huyo dhidi ya msanii wake wa kike ambae alifumaniwa nae maeneo ya Kawe Jijini Dar ambapo sakata hili liliishia kituo cha Polisi Hananasifu baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki tano.

Chanzo chetu kiliendelea kusema kuwa picha hizi za utupu zilipigwa siku nyingi kabla ya hilo fumanizi na zimevuja kutoka kwenye kamera yake mara baada ya kupotea ambapo blog hii ilifanya jitahada za kumtafuta msanii huyo kupitia simu yake ya kiganjani lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana.


Msanii huyo ambae sasa hivi ameachia filamu zake kama Bad Father,The,re ma sons, House Girl na Boss ambapo kati ya filamu hizo moja tu ndiyo iliyopelekwa kampuni ya Pilipili Entertainment ya Bad Father

No comments:

Post a Comment