Pages

Monday, September 2, 2013

MAISHA CLUB WAWAFANYIA KITU MBAYA WAPENDA BURUDANI,WABAKI MIDOMO WAZI,WASEMA HII NI MPYA HAIJAWAHI KUTOKEA


 Lile chama kubwa la madeejay Tanzania la XTREME DEEJAYZ linaloongozwa na DVJ MAJEY akiwa na HYPERMAN HK pamoja na mwanachama wao mpya ZUNGU MNYAMA jumamosi iliyopita waliwafanyia surprise kubwa sana wateja wa NEW MAISHA CLUB pale walipopiga disco kwa style ya band'' KIUKWELI DAMU ZILITUSISIMKA'' alisema mwanadada mmoja aliyejukana kwa jina moja tu la  CECILIA, style hiyo mpya ya xtreme band inapigwa kupitia cd lakini pia ukipata radha ya band kwa mdundo hule hule, wengi walihuliza utaratibu huu utakuwa lini na lini? kupitia site hii tunawajulisha kuwa pale tuliwaonjesha tu uzinduzi rasmi unakuja hivi karibu.   
 ZUNGU MNYAMA AKIFANYA YAKE




 DVJ MAJEY kwenye ONE  AND TWO



No comments:

Post a Comment