Pages

Tuesday, September 3, 2013

KUMBE UKIMCHANA MADAM RITHA KWENYE NYIMBO ZAKO UKIKUTANA NAE MNAPIGA PICHA-UNDERGROUND

Wasani chipukizi wamejikuta kuvutiwa na kitendo cha NEY WAMITEGO  kumchana madam Ritha kwenye nyimbo zaye mpya.'' Kumbe ukimuimba unapata nafasi yakupiga nae picha basi poa wimbo wangu mpya na mimi nitatafuta chakumchana madam hili nikikutana nae nipige nae picha''.alisema msanii chipukizi SNASHA ambae anatamba na wimbo wake wa SIELEWI ambao amemshirikisha DOGO ASLAY.

SNASHI akiwa na dogo aslay

Katika nyakati tofauti Wadau na wapenzi wa BONGO STAR SEARCH wamekichukulia tofauti kitendo hiko cha madam kulifumbia macho swala hilo la kutiwa dosali katika mchakato wake wa BONGO STAR SEACH, Kiukweli madam amekosea sana kumuachia huyu kijana anapoelekea sio pazuri anaimba imba nyimbo za kutukana viongozi halafu anaachiwa siku atakuja kumtukana rais wa nchi mana alishawahi kumtukamna mpaka mama yake aliemzaa kwenye nyimbo, Alisema LIVINSTONY NKOI mdau wa muziki tanzania.

No comments:

Post a Comment