hk CONTACTS

hk CONTACTS

Monday, September 23, 2013

Footballer Ronaldinho atumia dolla 58,000 kurekebisha muonekano wa meno.

Mchezaji bora wa dunia kwa miaka ya 2004/ 2005 m brazil,Ronaldinho,amebadilisha muonekano wa meno yake kwa oparesheni iliyomgharimu kisi cha dolla 58,000 za kimarekani.
Rohaldinho amefanyiwa oparesheni hiyo mwezi uliopita katika clinic moja huko  Brazil lakini picha na video za oparesheni hiyo zimefika katika internet na vyombo vya habari mbalimbali siku 2 zilizopita.
Tazamz picha za m brazil,Ronaldinho kabla na bada ya oparesheni:

No comments:

Post a Comment