Pages

Tuesday, September 24, 2013

EXCLUSIVE: SEREBUKA NA VYO VIKUU DODOMA, TUNDA MAN, NEY WA MITEGO, DOGO JANJA KUFANYA UZINDUZI WA VIDEO ZAO KWENYE JUKWAA MOJA:


KWA mara ya kwanza Vannedrick (t) Limited Inakuletea tamasha la SEREBUKA NA VYUO VIKUU DODOMA 2013,                  Ambapo tutakutanisha vyuo vyote vya Dodoma katika viwanja vya Royal village Tare 26/10/2013, kutakuwa na wasanii mbali mbali Ambapo Tunda Man atazindua Video yake mpya  aliyomshirikisha Diamond, Nay wa Mitego naye atazindua video yake kwa mara ya kwanza pamoja na Dogo janja na video yake ya wimbo wake wa serebuka,wasanii wengine watakaokuwepe ni  jambo squad na jaco beats kutoka Dodoma na pia wasanii kibao wa bongo movie watakuwepo,bado list ndefu sana ya wasanii tutaendele kukuletea hapa hapa kupitia www.bossngasa.com: Kwa wale wafanya biashara kama utapenda kutangaza biashara yako unaweza kuwasiliana nasi kupitia 0716909567

No comments:

Post a Comment