hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, September 3, 2013

CHECK JAYZ ALIVYOMUARIBU SURA MTOTO WAKE WA KIKE


Blue Ivy Carter ndilo jina la mtoto huyu wa 
wanyamwezi hawa toka Marekani yanii

nikimaanisha Jay-Z na Beyonce mrembo mwenye kipaji asilia.
Hizi ni baadhi ya picha za Jay-z na mtoto 
wake wa kike ''kiukweli jayz amemuaribu sana sura wake anafanananae sana kuliko beyonce angekuwa mtoto wa kiume sawa tatizo ni mtoto wa kike''. alisikika akisema dada mmoja jina lake alikujulikana mapema.

No comments:

Post a Comment