hk CONTACTS

hk CONTACTS

Saturday, August 24, 2013

YANGA YAFANYA MAUWAJI

Yanga yaanza vizuri kwa kuifumua Ashanti 5 - 1

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wameuanza msimu mpya wa ligi kwa kishindo kwa kuwafunga Ashanti United 5 - 1 yaliyofungwa na Jerryson Tegete (Dk 10, 58), Simon Msuva (Dk 48), Haruna Niyonzima (Dk 74) na Nizar khalifan (Dk 90) huku lile la Ashanti likifungwa na Shaaban Juma katika dakika ya 90.

No comments:

Post a Comment