hk CONTACTS

hk CONTACTS

Sunday, August 25, 2013

YALIOJIRI KWENYE KILI TOUR MBEYA NI HATARI SANA

 Hapa mwanadada SNURA akiingia na style yake ya NIMEVURUGWA huku akitingisha kichwa na madansa wake ambao ni mpacha wanne uwanja ulilindima kwa shangwe nzito sana kwa style hiyo mpya ya nimevurugwa kwa mara ya kwanza ndani ya MBEYA.Balaa lilizidi zaidi pale alipopiga wimbo wa taifa wa majaga ilikuwa hatari shangwe ziliongezeka sana.



 ANGALIA PICHA ZAIDI
















 KILIMANJARO BONGE LA KIBURUDISHO KWA WATANZANIA

No comments:

Post a Comment