Pages

Wednesday, August 21, 2013

VJ PENNY AMNUNIA DIAMOND NA KUZUGA NA SIMU KISA ICE CREAM

Yule first lady wa WASAFI vj penny mtangazaji wa kituo cha lininga cha dtv kupitia vipindi mbalimbali kikiwepo kile cha XTREME LIVE leo hii mchana huu ameonekana kukerwa sana na kitendo alichokifanya mpenzi wake DIAMOND  PLATNUM kile alichokiona kama atakuwa amemchoka blog hii ilipompigia simu PENNY kumuuliza kwanini ulinuna alisema hivi kwakawaida mie uwa sipendi mtu anidharau nimemwambia ukirudi uniletee ice cream matokeo yake amesahau kaja mikono mitupu. sasa mimi nimwambie nani kama na hamu na kitu kama sio yeye. Nikamtafuta DIAMOND akasema mie nilijisahau wangu ila nimemuomba msamaha hajanijibu anaongea na simu tu wala hanisikilizi ndio mana nikaamua kuomba msahada kwa mashabiki wangu Facebook nikaandika!!!!!!!!


Can you guys plz help mi kunibembelezea... coz my baby is mad @ me, aliniambia nimletee ice-cream nikirudi hom bt unfortunately nikasahau ... look at her, hatakai hata kunitazama wala kunisemesha... she's jus busy on the phone... Can you guys help me plzEnter FullscreenExit Fullscreen

No comments:

Post a Comment