Pages

Saturday, August 24, 2013

MUIGIZAJI MAARUFU HAPA BONGO MOVIE HEMEDY PHD ALMANUSURA KUPOTEZA UHAI! CHEKI HAPA




Yalikuwa ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani. Hemedy ameumia kwenye paja na kifuani ambapo staring ilimbana, kwa sasa bado yuko hosp anaendelea na matibabu.CHANZO BONGO CLANTZ

No comments:

Post a Comment