Pages

Friday, June 14, 2013

NANI KUFUNIKA SHOW LEO? HAPA MWANA F.A KULE LADY JAYDEE

Wale waliokuwa marafiki wakubwa leo wamegeuka kuwa maadui wakubwa, kila mmoja kwa wakati wake leo anafanya show yake kubwa katika kumbi tofauti. lady jaydee na miaka 13 katika fun na mwana f.a THE FINEST  Swali ni moja tu? je nani ataimbia viti? kila mmoja anasema amekwisha maliza tiketi zake.muda unakaribia haya sasa twendeni tukajionee wenyewe kwa macho yetu.


No comments:

Post a Comment