maajabuu ya musa......... |
kubinuka binuuuu, wee Ommy Dimpoz ndo unavyochengua watu hivyo? Lols |
wabunge wakijionea mambo |
Hatimaye Miss Tabora akapatikana |
Jamaniiiii hizi pombe za
ukubwani hizi yaani mtu unajichezea tuuu hujui wakina nani wanakuangalia, huna
habari nani ana hamu ya kuona sehemu zako za sirii aishii
cheap,cheap.
Burudani ilikuwa nzuriiiii lakini wafakamia bia za bure
siku zote huwa hawana nidhamu heeee kunywa bila standard ndo mwisho wake
kukatika mshipa wa staha na aibu na kuanza kutia doa sherehe. Libeneke la shosti
hapo mbele ya waheshimiwa jamaniiiiiii au ndo kujipa
promo?????
Aiiii wadada tunakuwaje siku hizi Lolest. Tupunguze
parakatumba eeeh.
Hongera kwa Miss Tabora 2013, she is
beautiful.
No comments:
Post a Comment