Pages

Wednesday, May 8, 2013

WEWE SI MJANJA WA DAR ES SALAAM HAYA SASA UNAKOSAJE??? FM NA MASHUJAA BAND


Akiongea na blog hii leo asubuhi director wa mashuja musica band KING DODOO LA BUJE amesema kwa sasa taari album ya risasi kdole imekisha kamilika kwa kila kitu na tayari kuingia sokoni moja kwa moja ambapo tar 11 mwezi huu pale BUSNESS PARK ambapo watakwenda kutambulisha album yao ya risasi kidole upande wa video huku akiongeza kuwa kwa sasa uuzaji wa album hiyo itakua ni audio na video itafungwa kwenye kifurishi kimoja



          mashujaaa kwa stage
NAE meneja wa MASHUJAA MARTIN SOSPETER amesema kuwa mbali ya uzinduzi huo lkn pia kwa kuwa katika tuzo za killi mwaka huu wameingia katika category tatu tofauti ya BAND BORA,WIMBO BRA WA BAND NA MTUNZI BORA AMBAPO WAMEWAKILISHWA NA CHALZ BABA PAMOJA NA MARAPER BORA WA DANSI AMBAPO AMENGIA SAUTI YA RADI PAMOJA NA FURGUSON kwa hiyo wadau wa muziki wajitahidi kuwapigia kura ili waweze kuibuka kidede katika tuzo hizo za mwaka huu

No comments:

Post a Comment