Pages

Wednesday, May 15, 2013

INAVYOSEMEKANA HUYU NDIO KIBOKO YA DIAMOND PLATNUM,OMMY DIMPOZI NA HEMED PHD KWAKUPIGA PAMBA






 Jux ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.








*Toa maoni yako*

1 comment:

  1. Atakuja kuwaua wenzake huyo...... anajua kutupia sana huyo kijana

    ReplyDelete