Licha ya kutoweka wazi nini
kilichompeleka mahakamani,JANA Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo
wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utajulikana. “Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan
judicial system. The tuth shall prevail.
Kutokana na hatua hiyo,
mtangazaji wa Clouds FM,Mwanadada Diva ambaye kwa mujibu wake mwenyewe ni mpenzi
wa Prezzo amemtumia ujumbe huu Prezzo:
No comments:
Post a Comment