Pages

Sunday, May 5, 2013

HIZI MPYA ZA RAYUU


Baada ya picha chafu za mbongo muvi Rayuu kuvuja na kufukuzwa kwao sasa picha zingine zimevuja na rayuu amefunguka hayaaaaaaaaaa

“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,”

No comments:

Post a Comment