hk CONTACTS

hk CONTACTS

Wednesday, May 15, 2013

AMINI NA LINNAH WAANZA KUFANANA

 Live camera yetu imekutana na AMINi na LINNAH kwenye jumba la kulelea vipaji la THT maeneo ya block 41 hivi karibuni wakati wa kufanya mazoezi ya kwa ajili ya tamasha la kuwatunuku tuzo wasanii mbalimbali wa hapa nchini tanzania KILI MUSIC AWARDS ambalo litafanyika tar 8 mwenzi wa 6 katika ukumbi wa mlimani city.......camera action 1,2,3 tap picha ikatoka hivyooo.
Hapa LINNAH,SNURA, na AMIN pembeni.
angalia tabasamu zao1 aahahahaha acha umbeaa!

No comments:

Post a Comment