hk CONTACTS

hk CONTACTS

Tuesday, April 16, 2013

UGOMVI WA MTU NA MPENZI WAKE USIPENDE KUUINGILIA,ONA MSICHANA HUYU ALIVYOTOA KICHAPO KWA MUMEWE NA MWISHO WA UGOMVI ULIVYOKUWA FULL MABUSU.



Mwanamke ashusha kipigo kwa mwanaume aliyedaiwa kuwa ni mme wake Bar, kwa madai ya kutoonekana nyumbani! Tukio hilo lililtokea eneo la Corner Bar Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Wakazi wa Dar es Salaam wakishuhudia kichapo alikuwa akishushwa mwanaume huyo.

Mwanamke akishusha pumzi baada ya kupunguza hasira zake

Akitafakari baada ya kumpiga mwanaume huyo.

Baada ya kupigwa na mwananke anayesadikiwa kuwa mpenzi wake

Mwanamke huyo akimhoji mwanaume huyo kabla ya kumaliza ugomvi

Mwanume akimkumbatia kumtuliza huku akilia

Ugomvi ukifikia ukingoni

ahahahahha jamani sasa wenzangu na mie mngeingilia mngeumbukajeeee!! ahahahahahah raha sana..!

No comments:

Post a Comment